Natafuta mume mwenye VVU

Lispokupata wewe litampata mwanao , utajilinda wewe lakini hutomlinda mkeo . Sio wote wanaopata hili tatzo ni wamejitakia wengne wanajilinda kama wewe lakini ndo hivyo tena yanawakuta ya kuwakuta ..

tujaribu kuwa na lugha nzuri tu
Ni kweli maana hili gonjwa ni la hatari sana. Usipokufa ww na ukimwi basi mkeo, km siyo mkeo, mwanao km siyo mwanao, mjukuu km siyo mjukuu basi kitukuu.
HIV kills
 
Kuna watu kule MMU wanapenda ngono ila Uzi kama huu wanapita kimya kimya..moyo unawadunda kama kitenesi cha Nadal. Aaaaahaha!

Na ukimwi siku hizi umekuwa kama hela kila mtu hana. Nyie!
 
Hongera kwa ujasiri wa kukubaliana na hali uliyonayo, nakutakia kila la kheir. Usikate tamaa, kikubwa anza dozi mapema na uzingatie mlo bora.
Wengi humu wanaweza kukuchukulia tofauti lakini ukweli ni kwamba kuna watu wengi wanaishi na HIV na maisha yanaenda bila stress wala magonjwa ya mara kwa mara.

Nimevutiwa sana na wewe, nakuombea Mwenyezi Mungu akubariki, angekua mtu mwingine angetumia mwanya huo kuambukiza wengine.
 
Ndio maana tunasisitizwa tumkumbuke Mungu wakati wa ujana wetu.. Ujana ni maji ya moto jmn, yanapotukuta ndio huwa tunamkumbuka Mungu. Mungu akakusaidie na ukapate haja ya moyo wako, mkatumikie Mungu daima
ume assume alingonoka ndio akaupata. ingekuwa hivo angerudi kwa aliyemuambukiza wayajenge maisha
 
Dada holyholy mimi si muathirika na nataka niitumie fursa tatizo langu nina kibamia cha ukweli
Je vip ni ku pm??
 
Mungu awabariki wote kwa comments zenu haijalishi ni mzuli au mbaya but nmejifunza na nmepata new idea asanteni
 
Mungu awabariki wote kwa comments zenu haijalishi ni mzuli au mbaya but nmejifunza na nmepata new idea asanteni
welcome holy holy hali uliyonayo sio tatizo kuweza kutimiza marengo yako yoyote ikiwamo na kuwa na familia nakutakia kila la kheri kutimiza matamanio yako
 
Wewe ni nani mpaka ujue atakufa mapema na kuacha watoto !!!
Muache ajui tu mimi kuna watu nawafahamu wanaishi naukimwi toka nikiwa bado mdogo ila chaajabu wazima wanakufa kwamaradhi mengine wanawaacha walio naukimwi wakiendelea bado kupeta
 
Mungu awe nawe pia na azdi kukupa moyo wa uvumilivu na akutendee haja ya moyo wako.
 
Watu MNA majibu mabaya.kama huna sifa si unapita kimya.?

Mwaya pole utapata.
 
Mhhh nashindwa hata cha kusema ila pole sana my dear
 
Hofu ondowa kabisa dadangu,lakufanya anza dawa mapema tu, then mme mzuri anakuja na anaweza akaja hata ambaye si muhathirika na mnaishi na kuzaa watoto bila ya mahambukizi kwakwe, punguza mahambukizi mapya my Dada ni hatari sana, kula vizuri, fanya mazoezi na mwisho lala pazuri.
 
Kwani dawa wanameza tu pindi wagunduapo wana Vvu au mpaka cd4zishuke?
Ni mpaka cd4 zishuke.
Ila ukipima mapema na kuwa karibu na kituo cha afya inasaidia kupata uangalizi wa karibu na pia kupata dawa za kuponya magonjwa nyemelezi au kutuliza maumivu ya sehemu zinazo uma.
Wengi wanalazimika kupima wakati wameshazidiwa na magonjwa hata wakipewa dawa haziwasaidii na wanakufa mapema.

NB
Sio jambo jema kutoa Lugha za kebehi kwa waathirika. Maisha bado yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…