McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
Ni kweli maana hili gonjwa ni la hatari sana. Usipokufa ww na ukimwi basi mkeo, km siyo mkeo, mwanao km siyo mwanao, mjukuu km siyo mjukuu basi kitukuu.Lispokupata wewe litampata mwanao , utajilinda wewe lakini hutomlinda mkeo . Sio wote wanaopata hili tatzo ni wamejitakia wengne wanajilinda kama wewe lakini ndo hivyo tena yanawakuta ya kuwakuta ..
tujaribu kuwa na lugha nzuri tu
HIV kills