Natafuta mume mwenye VVU

Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Wewe unajua utaishi miaka mingapi? Be careful unaweza ukatangulia wewe mkuu!
 
Sasa hapo nimekebehi wapi ?
 
Sasa hapo nimekebehi wapi ?
Sio wewe uliokebehi, kuna mjamaa mmoja hivi amemkebehi huyo mtoa mada.
Kwamba amtafute aliyemwambukiza ndio amwoe.
Katumia lugha kali kidogo.
Waathirika wapo katika hali ya majonzi ya kuto furahia maisha hivyo wanahitaji maneno mazuri ya kuwafariji.
Maisha bado yanaendelea
 
Lakini hayo masharti ya aina ya mwanamume na kazi na urefu. Huoni Usaniii. Huo. Mtu aliyechanganyikiwa bado ana vigezo. Upendo gani unakuwaga na sifa za nje .moyo huongea. Hao Wa urefu. Ufupi ni tamaa.
 
Umenifumbua macho.
Huyo ni mwongo, kama ulivyohisi, anasema anataka ndoa takatifu, wapi maneno matakatifu yalisema mwanaume mweusi au mfupi sio mume bora ?
Je Mungu akimletea mume mrefu mweusi atafanyaje ?
Maneno matakatifu hayabagui rangi au kimo cha mtu.
Huyo dada mleta mada anaweza kuwa ni msanii kama wasanii wengine ila ajue Mungu anamwona kwa kuongopa kuwa ni mgonjwa wa h i v.
Wakati waathirika wanahangaika kutafuta dawa ya kuwatibu yeye analeta dhihaka.
Mimi nimemsamehe kwani hajui alitendalo.
 
Kwenye swala zima la ukimwa ukimkebehi au kumcheka mwenye VVU zitakuwa hazikutoshi akili hamna mtu anapenda kufikwa na janga.
 
Wapo wansomtukana wuyu Mrembo lakini wao watakufa mwaka huu, Wengine mwakani n.k. Yeye Holyholy pengine ana miaka 50 mbele +29=79.

Wapumbavu Kabisa.
 
Utapata tuu Dada,
tena ata asie na vvu kama mimi
sema wengine cc age bellow ya hapo,
Uc ckilize matusi yao..
 
Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Hivi ulichokiandika hapa ni mimi tuu ndio sijaelewa au!?
 
Njoo pm nikuelekeze sehem
 
Aisee, sina iyokitu ila vigezo vyote nimetimiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…