Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kwani alokuambukiza kenda wapi???
Kwann asikuoe??
Au Hana kaz
Kama alizaliwa nao je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alokuambukiza kenda wapi???
Kwann asikuoe??
Au Hana kaz
Ndo akomae na hali sasa kwa kutueleza ukweli kua alizaliwa naoKama alizaliwa nao je?
Wewe unajua utaishi miaka mingapi? Be careful unaweza ukatangulia wewe mkuu!Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Kwahiyo wewe umejihakikishia kuwa hutowaacha watoto yatima?Najua ndiomaana nikawaambia kwanini wanataka kuwaacha mayatima wakiteseka?
Sasa hapo nimekebehi wapi ?Ni mpaka cd4 zishuke.
Ila ukipima mapema na kuwa karibu na kituo cha afya inasaidia kupata uangalizi wa karibu na pia kupata dawa za kuponya magonjwa nyemelezi au kutuliza maumivu ya sehemu zinazo uma.
Wengi wanalazimika kupima wakati wameshazidiwa na magonjwa hata wakipewa dawa haziwasaidii na wanakufa mapema.
NB
Sio jambo jema kutoa Lugha za kebehi kwa waathirika. Maisha bado yapo.
Sio wewe uliokebehi, kuna mjamaa mmoja hivi amemkebehi huyo mtoa mada.Sasa hapo nimekebehi wapi ?
Umenifumbua macho.Lakini hayo masharti ya aina ya mwanamume na kazi na urefu. Huoni Usaniii. Huo. Mtu aliyechanganyikiwa bado ana vigezo. Upendo gani unakuwaga na sifa za nje .moyo huongea. Hao Wa urefu. Ufupi ni tamaa.
Kwenye swala zima la ukimwa ukimkebehi au kumcheka mwenye VVU zitakuwa hazikutoshi akili hamna mtu anapenda kufikwa na janga.Sio wewe uliokebehi, kuna mjamaa mmoja hivi amemkebehi huyo mtoa mada.
Kwamba amtafute aliyemwambukiza ndio amwoe.
Katumia lugha kali kidogo.
Waathirika wapo katika hali ya majonzi ya kuto furahia maisha hivyo wanahitaji maneno mazuri ya kuwafariji.
Maisha bado yanaendelea
Utapata tuu Dada,Hi!
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.
Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa toka nigundulike na bado sijaanza kutumia dawa.
Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya kumuuingizia kipato,awe tayali kufunga ndoa takatifu, awe mrefu, maji ya kunde, asiwe mlevi na pia awe ana hofu ya Mungu.
NB: Aliye serious anitafute kwenye e-mail yangu claudiaforum2018@gmail.com
Hivi ulichokiandika hapa ni mimi tuu ndio sijaelewa au!?Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Njoo pm nikuelekeze sehemHi!
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.
Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa toka nigundulike na bado sijaanza kutumia dawa.
Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya kumuuingizia kipato,awe tayali kufunga ndoa takatifu, awe mrefu, maji ya kunde, asiwe mlevi na pia awe ana hofu ya Mungu.
NB: Aliye serious anitafute kwenye e-mail yangu claudiaforum2018@gmail.com
Wewe hayo maswali achana nayoKwani alokuambukiza kenda wapi???
Kwann asikuoe??
Au Hana kaz