Natafuta mume mwenye VVU

Natafuta mume mwenye VVU

Holyholy

New Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
2
Reaction score
11
Hi!

Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.

Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa toka nigundulike na bado sijaanza kutumia dawa.

Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya kumuuingizia kipato,awe tayali kufunga ndoa takatifu, awe mrefu, maji ya kunde, asiwe mlevi na pia awe ana hofu ya Mungu.

NB: Aliye serious anitafute kwenye e-mail yangu claudiaforum2018@gmail.com
 
pole sana dada, mkumbuke muumba wako wakati bali ungalipo, Mungu aweza kuwa faraja yako na mkombozi wako.
 
Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
 
Hongera sana dada Yangu kipenzi kwa ujasiri wako Wa kujielezea yale yanayokusibu.

Najua kwa sasa unakosa FARAJA na AMANI ya moyo na roho yako.

Ingependeza uvipate kwanza then ndipo uje kutafuta huyo mume na ukimpata tu mweleze ukweli wako usimfiche.

Pole sana Dada Yangu.
 
Back
Top Bottom