Natafuta mume, nina miaka 29

Natafuta mume, nina miaka 29

Wakati unakula ujana ulisema hutaki kuolewa sasa baada ya kuzalishwa na uzee unakaribia ndio unatafuta mchumba kwani wale uliokuwa nao ujanani hawakutaki kwa nini.
Hata kujificha makucha kashindwa analenga kupata mstaafu kuirahisishia maisha
 
Hello,

Mimi ninamiaka 29, nina mtoto mmoja, najishughulisha na ususi.

Natafuta mume kuanzia miaka 30-70, awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa kweli, awe anajishughulisha.
wa miaka 70 alishakula pensheni ikaisha maana alistaafu akiwa 60. Utaweza kumtunza?
 
Hello,

Mimi ninamiaka 29, nina mtoto mmoja, najishughulisha na ususi.

Natafuta mume kuanzia miaka 30-70, awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa kweli, awe anajishughulisha.
Hadi 70 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unataka mafao?
 
Pia usisahau kuwa unajitoa out unaenda kukaa sehemu nzuri kabisa unapata kinywaj8 chako, ukiwa unajifungia ndani, hamna kaka atakayekuona.
Wewe kinywaji unapatiaga wapi Madame?
 
Nyie mnakatisha watu tamaa kwa comment zenu si nzuri ...kwani ata akiwa na miaka 70 akinifia sawa ujue ilipangwa na mungu maneno yenu yanazidi nitia nguvu ....alfu naongezea miaka ata awe na miaka mia ni sawa tukiriziana [emoji57][emoji57][emoji57]
😅😅😅 Miaka 100 Sasa hata jf anaweza kusoma?

Hii ni miaka ya kubebwa kuoteshwa jua nje
 
Back
Top Bottom