Natafuta mume, nina miaka 30

Natafuta mume, nina miaka 30

Kashasma

Senior Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
108
Reaction score
76
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
 
dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
 
Kuna sister jana kwa Mkapa kajiongeza kampa namba Mwarabu. Jamaa wanadharau sana yaani wamewachapa uwanja wa Mkapa halafu wanawachapa tena kwenye 6*6 🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom