Natafuta mume, nina miaka 30

Natafuta mume, nina miaka 30

Unatafuta mume? Weka uzi utajua kama natafuta wa pili ama la!. Kwetu sisi ni Sunna kuwa na wake wengi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana sitafuti mume kaka murogi
Hata kama ningekua natafuta mume wewe akhaaaaa
 
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Uzi uliopita ulikuwa una mdogo wako ana umri wa miaka 33 . Means wewe ni above 33 . Leo unatafuta mme ukiwa na umri wa miaka 30 . Unafeli . Wishing you the best
 
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Tatizo haujasema upo mkoa gani, toa location.
 
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Allah atakufanyia wepesi.
 
Tunasubiri robots wao hata hawazingatii umri, dini, kabila wala elimu
925CAC67-2676-4521-91C0-BB7B341074F9.png
 
Habarini wana JF,

Mimi natafuta mume wa kuishi naye;

~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii

Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu

Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Unatafuta mume WA kuishi nae au unatafuta mume nusura ifanyike.?
 
Back
Top Bottom