dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?Habarini wana JF,
Mimi natafuta mume wa kuishi naye;
~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii
Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38 na kuendelea
2. Awe na shughuli maalumu ya kumpatia kipato halali
3. Awe kabila lolote
4. Awe na elimu angalau kidato cha nne au ajue kusoma na kuandika.
5. Dini - muislamu
Kama atataka taarifa zaidi aje PM.
Wagalatia tukasome Wimbo ulio bora. Hapa hamna chenu.
Unatafuta mume au mke?Changamoto hii
Miaka Nina 37 na miezi 11
Dini - Mkiristu
Vipi mrembo sikufai
Mkuu,kila mtu anaishi apendavyo yeye na sio kuishi kwa kuangalia fulani anaishije.dini ya nini dunia ya leo? We una asili ya ubaguzi, kwanini usiwatafute msikitini? Majaliwa muislamu mke wake Mary, hamjifunzi tu kutoka kwa wakubwa?
Namtafta Mama Ako nimfirageUnatafuta mume au mke?
Unatafuta mume? Weka uzi utajua kama natafuta wa pili ama la!. Kwetu sisi ni Sunna kuwa na wake wengi.Kaka mrogi hutaki kuongeza mke kwani?