Natafuta mume, nina umri wa miaka 25

Kabila
 
Me naomba niulize swali, hivi unataka kuniambia kuwa katika jamii ulio ishi, hujabahatika kuona mwanamume wa kukuoa, maana naonaga wanawake ndy huwa wanafwa na wanaume weng? au ni mtazamo wangu finyu
Amekuja humu kila mtu ana gari na nyumba ataki bodaboda
 
Karibu pm nami nahitaji mke
 
Karibu ushanipata kuja PM
 
Nakuombea upate hitaji la moyo wako
Alafu mshana hivi uwezi kuunganisha hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ πŸ˜‚πŸ™Œ
Maana kila siku wewe ni kuniahidi tuu kuwa utashughulikia ila wapi...

Na mimi nipo dasalam mkuu fanya kitu hapo nakuomba mkuu
 
Nichek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…