Natafuta mume njoo tuyajenge

mimadota

Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
48
Reaction score
108
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.

Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali

Sifa za ninayemtaka:
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT

NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
 
Njoo PM tuyajenge. Sifa zote hizo ninazo
 
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…