Natafuta mume njoo tuyajenge

Natafuta mume njoo tuyajenge

Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.

Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali

Sifa za ninayemtaka:
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT

NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Kuna kipingela muhimu sana pengine kuliko vyote hapo nacho si kingine bali PICHA!
Mambo ya kupoteza mda na watu wasiojulikana sio mpango wala nn
 
mm nina pesa ila spendi ujinga ktk pesa na km unakuja uje lkn likibuma na uende bila kugeuza shingo.
 
Back
Top Bottom