Kwa mimi ni kimbilio la waliokosa ama. Muoe wewe au ushaoaDaby yupo
Mi sinishaoa mkuu,,Kwa mimi ni kimbilio la waliokosa ama. Muoe wewe au ushaoa
Bora umeoa wewe maana ulikuwa unatuharibiaMi sinishaoa mkuu,,
Kuna kipingela muhimu sana pengine kuliko vyote hapo nacho si kingine bali PICHA!Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninayemtaka:
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Sasa yule mchuchu wako si alijileta mwenyewe mi nafanyeje sasaBora umeoa wewe maana ulikuwa unatuharibia
Utafanye zaidi ya kupita naye na ulivyokiwembe. NifundisheSasa yule mchuchu wako si alijileta mwenyewe mi nafanyeje sasa
Ntakufundisha tu si ushajisogezaaUtafanye zaidi ya kupita naye na ulivyokiwembe. Nifundishe
[emoji4][emoji106][emoji106]Ntakufundisha tu si ushajisogezaa