Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Mzee achana na kiingereza

Agrly

Martured

Narudia tena achana na kiingereza
 
Hi Abbyrashel mi nimekufeel Ila Sina kazi damnn
 
Ushakosa mume hapo uliposema una umbo la Kitanzania 😅 na hivi umetokea kaskazin embu tuache kwanza, sisi tunataka maumbo ya kibantu
 
Pisi za chuga hamjui mapennz wakorofi kama nn
 
😂Point ni kuja pm
 
Safi sana
 
Nipo hapa nimekiziiii vigezo vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…