Natafuta mume tuoane

Mimi ni mwislamu na Nina shahada ya kwanza ya elimu katika Sanaa je naweza kukufaa?
 
Hivi kupenda ni kitu rahisi sana?...eti nitampenda kwa moyo wangi wote.
 

Acha kudhihaki madhehebu ya watu mkuu! Utakufa kibudu
 
Acha kudhihaki madhehebu ya watu mkuu! Utakufa kibudu
Acha kutishia wakubwa nyau, huo ndio ukweli kwan watu hao hawaabudu sanamu la mungu wa misri isis? Now linaitwa bikira maria

Haya mambo ya kukwepesha ukweli sina, ni dhahiri mtoa uzi hawataki wasabato kwakuwa hawana hayo mambo, ila anawataka warutheli na walokole kwakuwa wanaendana na taratibu zao za ibada , hasa sikukuu za paganism, ambazo zinatoka ROMA,
 

Unajua nini mkuu! Hizi dini wote tumeletewa kwahiyo sioni haja ya kukomalia sana tusiyoyajua ama tusiyo na uhakika nayo, ilihali tunaamini Mungu wetu ni mmoja na kila dhehebu linamuabudu kwa staili yake
 
Unajua nini mkuu! Hizi dini wote tumeletewa kwahiyo sioni haja ya kukomalia sana tusiyoyajua ama tusiyo na uhakika nayo, ilihali tunaamini Mungu wetu ni mmoja na kila dhehebu linamuabudu kwa staili yake
Haya maandiko tuseme hujui hata picha huoni? Wenzio kila jumapili wanapigia magot masanamu, pia utawakuta makaburini wanaombea wafu, toka lini maiti ikasikia,

Huyo mtoa uzi nimempenda ,hataki shuruba, maana msabato na pombe ni tofauti, wao pombe ruksa
 
inaonekana ulipata mtoto ukiwa na pombe kichwani na kupata suluhu ikawa majaliwa
 
Kama bado hujanasia Uende kwenye harusi ya fulola mbasha, kuna masingo kibao wamethibitisha kushiriki!!😀 Ukajaribu bahati yako.
 
Mi ningechangamkia hiyo fursa ila ndo hivyo elimu yangu ni ya chuo (sio university) nina elimu ya chuo cha ufundi,
Pia sio mwajiriwa ila mimi nauzaga majeneza na sanda.
 
Hili la kuzidiwa umri na bidada halafu hataki mahusiano ya kimapenzi sababu tu kakuzidi umri mie linanishangaza sana hasa kama tofauti hiyo ni kati ya mwaka na miaka mitano.
Mie nikimzidi mwanaume hata siku tu kwakweli hapana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]
 
Leta andiko nisiingie mtandaoni

Ndio tabu ya kukurupuka ,tatizo akili zenu zimeshikwa na manabii wa dar wanaowauzia maji na chumvi kwa laki 1,

Wewe jipendekeze kwa mtoa uzi ila hataki ma mario
Mkuu naona kama wewe msabato Ndiyo hutakiwi ndiyo maana povu jingiiiiiii
 
Mkuu naona kama wewe msabato Ndiyo hutakiwi ndiyo maana povu jingiiiiiii
Aisee umetokea wapi?

Nani kakwambia nataka mwanamke wa miaka 37?

Mimi na miaka 25 nina mke ,mwaka wa tatu wa ndoa,

Usikurupuke ili uonekane umekoment ,
 
Mungu atakuletea wakuonanae, ningekushauri muda mwingine muombe akuletee mume akuoe, sio kuoana.
 
Mimi nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji*
 
Muonane ama UOLEWE.? Sijaelewa cause kwa Ma "GREAT THINKERS" hizo ni kauli mbili na zenye maana tofauti i mean "kuoana na kuolewa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…