mitorowindo
Senior Member
- Apr 5, 2017
- 163
- 88
Mimi ni mwislamu na Nina shahada ya kwanza ya elimu katika Sanaa je naweza kukufaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha [emoji2] JF kuna raia wanachekesha sanaHapo kwenye kumaliza naye muda wa kuishi umenitisha sana mkuu
Umeathirika nini?
Huwataki wasabato maana hawatakuruhusu
UABUDU LISANAMU LA MARIA,
UNYWE POMBE
UFANYE IBADA ZA WAFU
Unataka hao wanaume mtakaokuwa mnaenda disko na kupigia magoti masanamu na kusali rozali, na kwenda makaburini kuombea wafu .
AISEE BORA UTAFUTE WANAUME WAABUDU MASANAMU WENZIO
Hii ndio sababu kubwa huwataki wasabato,
Acha kutishia wakubwa nyau, huo ndio ukweli kwan watu hao hawaabudu sanamu la mungu wa misri isis? Now linaitwa bikira mariaAcha kudhihaki madhehebu ya watu mkuu! Utakufa kibudu
Acha kutishia wakubwa nyau, huo ndio ukweli kwan watu hao hawaabudu sanamu la mungu wa misri isis? Now linaitwa bikira maria
Haya mambo ya kukwepesha ukweli sina, ni dhahiri mtoa uzi hawataki wasabato kwakuwa hawana hayo mambo, ila anawataka warutheli na walokole kwakuwa wanaendana na taratibu zao za ibada , hasa sikukuu za paganism, ambazo zinatoka ROMA,
Haya maandiko tuseme hujui hata picha huoni? Wenzio kila jumapili wanapigia magot masanamu, pia utawakuta makaburini wanaombea wafu, toka lini maiti ikasikia,Unajua nini mkuu! Hizi dini wote tumeletewa kwahiyo sioni haja ya kukomalia sana tusiyoyajua ama tusiyo na uhakika nayo, ilihali tunaamini Mungu wetu ni mmoja na kila dhehebu linamuabudu kwa staili yake
inaonekana ulipata mtoto ukiwa na pombe kichwani na kupata suluhu ikawa majaliwaSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Mi ningechangamkia hiyo fursa ila ndo hivyo elimu yangu ni ya chuo (sio university) nina elimu ya chuo cha ufundi,Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Ni mtafutaji na ndo maana amekuja humu Jf kutafuta[emoji15]Wewe je mtafutaji...?
Hawalagi kitimoto wala tungi na wakati yeye ni mchaga wa Kishimundu tungi na mdudu ni kama mafuta ya kupakaKwanini unawakataa wasabato
Mie nikimzidi mwanaume hata siku tu kwakweli hapana.Hili la kuzidiwa umri na bidada halafu hataki mahusiano ya kimapenzi sababu tu kakuzidi umri mie linanishangaza sana hasa kama tofauti hiyo ni kati ya mwaka na miaka mitano.
Mkuu naona kama wewe msabato Ndiyo hutakiwi ndiyo maana povu jingiiiiiiiLeta andiko nisiingie mtandaoni
Ndio tabu ya kukurupuka ,tatizo akili zenu zimeshikwa na manabii wa dar wanaowauzia maji na chumvi kwa laki 1,
Wewe jipendekeze kwa mtoa uzi ila hataki ma mario
Aisee umetokea wapi?Mkuu naona kama wewe msabato Ndiyo hutakiwi ndiyo maana povu jingiiiiiii
Mungu atakuletea wakuonanae, ningekushauri muda mwingine muombe akuletee mume akuoe, sio kuoana.Salama wakuu wa love connect.