Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bia hata jumapili inanyweka. Hata hiyo jumamosi kwani wanasali siku nzima??Eti hutaki wasabato, wamekufanya nin? Hahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kwa kuwa wanasali siku ya wewe kupiga bia na kujiachia
Ha ha ha ha.Mimi sina elimu ila nina mashine[emoji23][emoji23][emoji23]
By ze way nilishampata a good man!! nampenda sana!!kwanini uliachana na baba wa mtoto wako tena mtoto akiwa na umri mdogo kiasi hicho.... kabla hatujafanya maamuzi yoyote ni vizuri kumsikiliza na mzazi mwenzio pengine we mkorofi na unajidaia ka masters kako.... bora hata ungesema una run huge entreprises ya net worth bilioni kadhaa sasa hako ka masters na ujeuri ulionao si utasababisha mtu akuzibue vibao halafu umpeleke polisi af uachane nae af uje tena humu...... tupe namba ya mzazi mwenzio tumchukue maelezo naye tusikie upande wake ana maoni gani?
Yaani kwakuwa mie mnene basi nisichague mwembaba??Asiwe mnene wakati ww mnene utakua hujielewi kajipange Kwanza uje tena vzuri
By ze way.... Teh teh teh. Tangazo lako la mwanzo lina kasoro ya kimaadili ya kiAfrika.By ze way nilishampata a good man!! nampenda sana!!
Kwa kukulisha tu ubongo wako;
Sio kila mahusiano lazima yafikie ndoa
mengine watu wanaamua kuenjoy tu maisha.
Sio lazima watu wakiachana basi sababu iwe ukorofi hafu wa mwanamke.
Lakini pia mi ni mkorofi ati sipendagi ujinga aisee.
Kuweka kigezo cha elimu yangu hakukuwa na maana ya kujibost.
Alamsiki!!
Hujaeleweka walai!!.By ze way.... Teh teh teh. Tangazo lako la mwanzo lina kasoro ya kimaadili ya kiAfrika.
... Mwanaume tuoane.... Muafrika haoani bali anaolewa.
Halafu kigezo cha elimu ya makaratasi kama kigezo cha mwanaume wa maisha yako ni dhihaka.
Elimu ya makatatasi ni mahsusi kwa ajira.
Unadhani sijui? Kuoana ni mila za kizungu. Kuoa ama kuolewa ni mila za kiAfrika. Sasa nawewe kama hauelewi ufafanuzi nliotoa tufunge mjadala.Hujaeleweka walai!!.
Hafu nawashangaa sana na kiswahiki chenu
hivi hamkusomaga kutenda, kutendeana, kutendwa nk.??
Mbon sio geni neno la kuoana??
mbona watu wanaoana!!! ha ha ha ha ha
hebu acheni mfumo dume uliokithiri au mrudi tena shule mkajifunze kiswahili.
Kwa haraka haraka... KITIMOTO NI TAMUKwanini unawakataa wasabato