Natafuta mume tuoane

Natafuta mume tuoane

Vp ushapata mwenza Englishlady

Kama bado mimi nipo ninakidhi vigezo
 
Ila Muache Kuwa Vyakula Vya Mabosi Maofini Mtadumu Na Waume Zenu, Wanaume Ni Watu Wenye Roho Nyepesi. So Muwe Makini Na Huo Udhaifu Wenu
 
Ila Muache Kuwa Vyakula Vya Mabosi Maofini Mtadumu Na Waume Zenu, Wanaume Ni Watu Wenye Roho Nyepesi. So Muwe Makini Na Huo Udhaifu Wenu
Hao mabosi wao hawana wake??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mambo mazuri yapo mbele .

But for sure ,, hakuna watu wenye mahusiano bora na ndoa zenye amani kama za wasabato.
 
Umepanga mtaa gan hapa Dar? Kamilisha maelezo

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mimi kiukweli Dada hata Mimi sijaolewa ila huwezi kuchagua mume awe Na degree au nini ujue elimu sio ndio mapenz ya dhati kikubwa kupata mume atakae kuthamini,atakaejua thamani yako,mwanaume atakae kuheshimu kikubwa awe mtafutaji ajitambue awe nahofu yamungu tu Mimi kama mwanamke mwenzio hicho kigezo cha elimu utawakosa wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm interested...🙂🙂
 
Vijana mna ubishi sana, nina uzoefu na suala la umri katika ndoa. Mwanaume wa miaka 35 ni dogo kwa mama wa 37 ndugu tena na mtoto juu. Saizi ya huyu ni miaka kuanzia 47 na kuendelea ili heshima ndani ya nyumba iwepo Englishlady . Aidha nikuhakikishie kuwa mimi ni mshamba maana nina roots za huko shamba. Mtu ambaye hana roots za shamba (anayepaswa kuitwa mshamba) ni mtoto wa ombaomba wa mjini. Je, mwenzangu huna kizazi kinachotokea shamba ili usiitwe mshamba?
Achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha..
Kila la kheri dada yetu. Ila ukiona siku zinayoyoma, jaribu kulegeza masharti japo kidogo. Issue sijui za unene, kuajiriwa etc are temporary and could change any time...
 
Back
Top Bottom