Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Mimi ni msichana umri miaka 30,nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu,awe mkarimu, Mwenye hofu na mungu,mkristo. awe na miaka isiyopungua 30,Mwenye nia ya dhati anipm
Hello habar, uko wapi na unafanya nini? Niko tayari
 
Kwa nini huwa mnachelewesha matangazo haya? 24-27 yrs ilikuwa muda muafaqa kuleta hili tangazo! Btw all the best!
 
Kila la kheri mdada, nina imani utafanikiwa kwa nia moja.
 
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
Njoo inbox(Pm)tuongee
 
Chec
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.[/QUOkTE]

Check me inbox...am so serious about you
 
Back
Top Bottom