Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
miaka 30 bado unajiita msichana???wewe ni mwanamke,tena wengine wa umri huo tayari washakuwa wajane...
 
Ni Msichana maana kautunza usichana wake(Bikra) hadi umri huo wa 30 hongera zake apate bikra wa kiume pia...!
 
una uhakika umri huo hao wenye 30 na zaid wanakutaka,? unatania bila shaka
 
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
hello
 
Back
Top Bottom