Natafuta mume "very serious"

Umeanza vizuri ila hapo mwisho ndo umemaliza vibaya
 
Umeanza vizuri ila hapo mwisho ndo umemaliza vibaya
 
ID yako ya mwanzo niipi ??.

Anyway Mimi sipo serious maana haitokaa kumfata MTU PM nisojua Background yake !

Nmejisikia tu kuchangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Una maanisha background ipi ya hapa jf au ya mtaani?
Kama ni ya hapa jf umechemka maana watu wanaishi hapa kwa maigizo zaidi ya bongo movie.

Kama ni ya mtaani napo hutafanikiwa sana kwani, kuna watu background zao hazijulikani kihivyo hata ungewauliza wazazi wao.

Maisha hayana fomula!
 
Nikweli ulichokisema mkuu ,nikweli kabisa.

Ila ujue ukishasoma MTU post zake au koment ,kuna vitu vodogo dogo vitskavyoanzs kukupa picha ya muhusika ,is she a wife material or ? .

BTW yote ulosema nikweli
 
Ni vyema kama umeuona ukweli wangu.
Issue ya mwenza mwema inabaki kuwa maajiliwa ya Mwenyezi Mungu,haijalishi mtakutana wapi, iwe mtandaoni,masomoni,kazini,mtaani,ibadani n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…