Natafuta mume "very serious"

Natafuta mume "very serious"

Kama unataka mume uolewe ndoa yko itambulike bas lazma anaekuoa awe muislamu ....kwa mujibu wa uislamu hakuna ndoa kt ya bint wa kiislam na yahud au mkristo ....
 
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.

Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
Dini yeyote utakuwa huna dini
 
Hello nipo ntakupatataje
 
Kiasi upitie mengi maana inaonekana hujitambui, soma nyuzi za watu waliotangulia na kutoa ushuhuda wa mahusiano ya mitandaoni. Hujijui muislam au mkristo, upo upo tu usipitie mengi mchezo??? Hao walevi unaowatafuta utawapa halafu watakuwa wanakupa kipigo wakishalewa na ndio utaelewa pombe si chai.

Sijawahi ona bandiko la mtafuta danga humu lililo bovu kama lako.

Usisahau kuja kuleta mrejesho hapa, wenzako wanaojielewa utaskia wanatangaza kabisa hawataki walevi. sasa wewe walevi kwako poa tu, inaonekana wewe mwenyewe mlevi.

Aisee nisiongee sana maana inaskitisha eti degree holder amepita ngazi zoote za masomo mpaka sasa hajielewi yuko wapi halafu anasema amepitia mengi.

Am done talking (In Lechero's voice)
 
Huyu mume unayemtafuta umempotezea wapi???

Afu naomba kujua kwa umri wako wote kama unavyokiri kuwa umepitia mengi katika mahusiano kama nyani mzee aliyekwepa mishale mingi, nini kilikushinda kupata mtu/mume wakati unavutia 16-22 kabla ya 25-28 toward 30 toward uzee....???
Akikujibu nishtue mtu wangu
 
Back
Top Bottom