Natafuta mume "very serious"

Kama unataka mume uolewe ndoa yko itambulike bas lazma anaekuoa awe muislamu ....kwa mujibu wa uislamu hakuna ndoa kt ya bint wa kiislam na yahud au mkristo ....
 
Dini yeyote utakuwa huna dini
 
Hello nipo ntakupatataje
 
Kiasi upitie mengi maana inaonekana hujitambui, soma nyuzi za watu waliotangulia na kutoa ushuhuda wa mahusiano ya mitandaoni. Hujijui muislam au mkristo, upo upo tu usipitie mengi mchezo??? Hao walevi unaowatafuta utawapa halafu watakuwa wanakupa kipigo wakishalewa na ndio utaelewa pombe si chai.

Sijawahi ona bandiko la mtafuta danga humu lililo bovu kama lako.

Usisahau kuja kuleta mrejesho hapa, wenzako wanaojielewa utaskia wanatangaza kabisa hawataki walevi. sasa wewe walevi kwako poa tu, inaonekana wewe mwenyewe mlevi.

Aisee nisiongee sana maana inaskitisha eti degree holder amepita ngazi zoote za masomo mpaka sasa hajielewi yuko wapi halafu anasema amepitia mengi.

Am done talking (In Lechero's voice)
 
Akikujibu nishtue mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…