Natafuta mume "very serious"

Habari zenu natafuta Mke wa kuoa umri 20-26 sibagui rangi wala dini, ukiwa single mother itafaa zaid 0678886071
 
Kila lenye kheri
 
Hili goli lilikuwa pana mno. Kama hakuna aliyefunga ndoa basi tena, dada kapoteza hii round.
 
Wewe ni muislam kama ulivyoandika ila huamini katika uislamu hata dini nyingine hutoamini.kwa point hiyo hata wa dini zingine watakuogopa,na hakuna mwanamme atakaekufuata kama huna msimamo wa dini,
 
Hivi humu kuna watu huwa wanafanikiwa?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious

Na magonjwa pia ulipitia?

Vipi mkuu ulipata chaguo lako?
 
Dah, sasa ushasema unapenda waume wanene, enhe akipata mtihani akakonda si mapenzi yako yatapungua?
 
Mi ni msukuma maana wengine husema wasukuma si watu. Je ni pm? Weka na picha
 
Ulivyojieleza unaonekana upo smart sana. Nimekupenda to be honest
 
Kila kitu uko OK dada, lakini suala la kusema huchagui dini linawatia watu ukakasi
Inawezekana hukulelewa ktk familia iliyoshika dini na hicho ni kigezo Cha waume wengi kukugwaya
Dada hiyo ndoa unayoililia kuna aliyeiumba kuwa na msimamo
 
Karibu mawasiliano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua huko PM pameshajaa.. No parking...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…