Natafuta mume "very serious"

Natafuta mume "very serious"

Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.

Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
Hope utampata,goodluck on that...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye "awe na mwili kidogo" ulimanisha awe bonge au mwembamba.

Niweke sawa maana kiswahili sometimes kinasumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheeeeeeka!! Sasa imagine kwa utafiti niloufanya yaan huwezi amini,,, mabraza men wa sasa kuanzia 20's-30's walio wengi hawataki kuoa kabisa bali wanachokitaka ni kupiga mimba na kusepa... . Tafsiri yake ni kwamba hawapo tayari kuoa bali kupata watototu kwahyo hii inadhihirisha kua waoaji hawapatikani kirahisi kwa sasa, poleni sana wadada ila pia mungu niwetu sote msijari mtapata watu sahihi,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm na vuta bangi sana vipi nitapata nafasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sifa zote ninazo na siji pm nicheki 0678148500
DINI Islam
Elimu Bachelor
Ajira Mfanyabiashara
Umri 32
 
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.

Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
 
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.

Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
sisi vimbau mbau tushakukosa
 
Sasa bidada na kaushahidi basi ka picha basi hata tu kamguu ili watu wawe seriously kama we
 
Back
Top Bottom