scaltingscalting
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 148
- 55
Njoo arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah safi sana nimeipenda ila mi vitu vya ndani nitavileta navyo nguo zangu na fuko la salfate.Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Ni pmNahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
ahahaa na siku ya kuondoka utaondokaje?Dah safi sana nimeipenda ila mi vitu vya ndani nitavileta navyo nguo zangu na fuko la salfate.
Nitatoka fuko langu huyoo. Maana najua mwanamke akimiliki assert siku likitokea tifu kidume ni lazima utimuliwe.ahahaa na siku ya kuondoka utaondokaje?
sitaki tena mtukwan sasa hv unaishi na nan
Umeamua nicheke, Jf raha sana[emoji13] [emoji13]Dah safi sana nimeipenda ila mi vitu vya ndani nitavileta navyo nguo zangu na fuko la salfate.