Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Halafu, hakuna mwanaume aliye kamili akaishi hadi miaka 35 hajaotea hata mtoto wa nje, haipo na atadanganywa.

Na hicho kigezo cha bila kusex dada, kiondoe, maana utajikuta unafunga ndoa na hanithi kisha uje utulilie bure humu.
Usiseme hakuna. Watu wa jamii forums mbona mnajitia wajuaji wa kila kitu? Kama mtaani kwako vijana wote wana watoto basi Tanzania nzima imeshakuwa hivyo...hebu acheni ushamba
 
kumbe bikra bado zipo hongera ila siwez kuamini adi nihakikishe kwa mjegejo
 
Usiseme hakuna. Watu wa jamii forums mbona mnajitia wajuaji wa kila kitu? Kama mtaani kwako vijana wote wana watoto basi Tanzania nzima imeshakuwa hivyo...hebu acheni ushamba
Kama unamtia moyo, nakuunga mkono, maana hadi kuingia huku atakuwa hata anakosali hayupo mwanaume wa namna hiyo.

By the way, dada tafuta mume, na kigezo kiwe UPENDO tu, na unajua kuwa Upendo ni tunda la roho...! Upendo huvumilia yote....!
 
duh nishabwagwa kwenye ligi maana anaetakikana Aw mkristo
 
Karibu vigezo vyote ninavyo. Nimependa sifa zako, masharti yako na kujiamini kwako, kama ni kweli basi uko vizuri sana. Kila la kheri.

Ninajipanga....
 
Najiuliza tu hapa maswali...

Inamaana huko unapoishi hujawai kutongozwa? Kazini je hakuna hata mmoja aliyevutiwa na wewe? Uliosoma nao chuoni je hakukuwa hata na mmoja aliyekuwa interested na wewe mkaanzia hapo?

Mungu akutane na hitaji lako dada
 
Najiuliza tu hapa maswali...

Inamaana huko unapoishi hujawai kutongozwa? Kazini je hakuna hata mmoja aliyevutiwa na wewe? Uliosoma nao chuoni je hakukuwa hata na mmoja aliyekuwa interested na wewe mkaanzia hapo?

Mungu akutane na hitaji lako dada
Nitamsaidia kujibu hili swali.

Kutongozwa sio kuolewa. Binti anaweza kutongozwa na wanaume zaidi ya mia moja katika maisha yake lakini bado asifikie kuolewa nao.

Jambo la kuoa na kuolewa ni fumbo kwa kila mtu. Huwezi kujua utamuoa au utaolewa na nani mpaka majira ya hilo jambo yafike. Na huwezi kujua majira hayo yatakukutia uko wapi. Dada yetu majira hayo yamemkutia pia humu JF. Sasa katika hilo tunapaswa kupongeza na sio kuhoji sana. Faida ya humu unaweza kuweka vigezo ili kuchuja wahitaji kitu ambacho hakiwezekani sana katika mazingira ya maisha ya kila siku chuoni, ofisini au mitaani.

Let be positive in our minds.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…