Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Nimekuambia tuma Picha pm, mpaka sasa hujatuma. Uko serious kweli unataka mume ?
Keshakudiskualifai na sizitaki Mbichi zako,mnaponda kumbe mnataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuambia tuma Picha pm, mpaka sasa hujatuma. Uko serious kweli unataka mume ?
Ndugu, siku hizi wanaume tumebaki wachache...!! Sijui tatizo nini!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aku, sijamponda mimi !!!Keshakudiskualifai na sizitaki Mbichi zako,mnaponda kumbe mnataka
Mpaka bk anatafuta badala ya kuonekana.Ndugu, siku hizi wanaume tumebaki wachache...!! Sijui tatizo nini!!
Usiseme hakuna. Watu wa jamii forums mbona mnajitia wajuaji wa kila kitu? Kama mtaani kwako vijana wote wana watoto basi Tanzania nzima imeshakuwa hivyo...hebu acheni ushambaHalafu, hakuna mwanaume aliye kamili akaishi hadi miaka 35 hajaotea hata mtoto wa nje, haipo na atadanganywa.
Na hicho kigezo cha bila kusex dada, kiondoe, maana utajikuta unafunga ndoa na hanithi kisha uje utulilie bure humu.
Akuu, nimempongeza mywaranda wetu wa jf. We hivo vigezo unaona vidogo?Hujui ulichokifanya !!!!?
Nyamaza mpnziii, usilie. Achana n'a hawa wanaokutusi mrembo@Okoyoyo kwanini kunitusi?
Kama post haikuhusu si unaacha tu?
Najuta kuanzisha Uzi huu, machozi yananitoka tu hapa, anyway, ngoja niombe ifutwe, Mungu atanilipia
Kama unamtia moyo, nakuunga mkono, maana hadi kuingia huku atakuwa hata anakosali hayupo mwanaume wa namna hiyo.Usiseme hakuna. Watu wa jamii forums mbona mnajitia wajuaji wa kila kitu? Kama mtaani kwako vijana wote wana watoto basi Tanzania nzima imeshakuwa hivyo...hebu acheni ushamba
Kwani wewe ni mjapan?Chura ipo?
Kwani wewe ni mjapan?
Hahaha ahsante Dada, ila Mie ni mkongwe humu, toka 2012 atiAnamaanisha wowowo Mary lol karibu JF,huku kuna wema na mabazazi pia lol
Nitamsaidia kujibu hili swali.Najiuliza tu hapa maswali...
Inamaana huko unapoishi hujawai kutongozwa? Kazini je hakuna hata mmoja aliyevutiwa na wewe? Uliosoma nao chuoni je hakukuwa hata na mmoja aliyekuwa interested na wewe mkaanzia hapo?
Mungu akutane na hitaji lako dada