Natafuta mume wa kuishi nae

Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Mambo Jf.
Nimechoka upweke na natafuta mme wa kuishi nae .

SIFA ZANGU:
Ni mrefu wa 1.7metre, mnene kiasi, wowowo (chura) kubwa kiasi.
Kielimu nina Masters katika Sheria.
Nina umri wa miaka 30.
Ni BIKRA, sijawahi kusex
Nimeajiriwa na sina mtoto.

SIFA ZAKE.
1.Awe mkristo.
2. Umri wake uwe kati ya miaka 31-35
3. Aliye na kipato kwa ajita au kujiajiri.
4. Awe walau na diploma katika fani yoyote .
5. Asiwe na mtoto wa nje
6. Awe tayari kupima vvu kabla ya chochote na alie tayari kusubiri hadi tufunge ndoa Ndio tu sex.
Nakaribisha wenye vigezo watume inbox.
Wakati mwema
Mashaallah kwa kuitunza bikraa
 
Hii dunia bhana..na wenye bikira wanatafuta wanaume, micharuko inaolewa
IMG-20180808-WA0002.jpg
 
Ogopa sana mwanamke anayetaka usubiri hadi ndoa.
.
.
 
Hii dunia bhana..na wenye bikira wanatafuta wanaume, micharuko inaolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi hata sielewi
Kanda ya ziwa na kanda ya Kati ni maarufu sana. Ulilitumia kufanyia kazi gani?
Dunia kigeugeu[emoji38]
Na hata wakiolewa ndoa zao masikini hazidumu...!! Hii dunia haiko fair kabisa.
Niliyala sana hayo. Mfano Wa tango, ila hayo ni mazuri zaidi
Where we dare to speak openly.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom