Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata muda tembelea tena uko, ni balaa.Niliyala sana hayo. Mfano Wa tango, ila hayo ni mazuri zaidi
30 yrs still virgin nakushauri ukubali kutobolewa kwanza hakuna mwanaume atayekuoa bila kuonja hiyo kitu ili ajue kama uko bikra. Pia inawezekana bikra huna na umri wa mwanaume unayemtaka kutokuwa na mtoto ni nadra sana.Mambo Jf.
Nimechoka upweke na natafuta mme wa kuishi nae .
SIFA ZANGU:
Ni mrefu wa 1.7metre, mnene kiasi, wowowo (chura) kubwa kiasi.
Kielimu nina Masters katika Sheria.
Nina umri wa miaka 30.
Ni BIKRA, sijawahi kusex
Nimeajiriwa na sina mtoto.
SIFA ZAKE.
1.Awe mkristo.
2. Umri wake uwe kati ya miaka 31-35
3. Aliye na kipato kwa ajita au kujiajiri.
4. Awe walau na diploma katika fani yoyote .
5. Asiwe na mtoto wa nje
6. Awe tayari kupima vvu kabla ya chochote na alie tayari kusubiri hadi tufunge ndoa Ndio tu sex.
Nakaribisha wenye vigezo watume inbox.
Wakati mwema
Hujui ulichokifanya !!!!?Heeeeh [emoji23][emoji23] nini?
Na hapa jf kulivojaa wahuni.. Namuhurumia tuNa hata wakiolewa ndoa zao masikini hazidumu...!! Hii dunia haiko fair kabisa.
Ogopa sana mwanamke anayetaka usubiri hadi ndoa.
.
.
Jamii fr imejaa waungwana n'a waaminifu, hakuna mhuni hapa. Msemakweli ni mpenzi Wa munguNa hapa jf kulivojaa wahuni.. Namuhurumia tu
Siku hizi watu wanatest mjtambo ya kiwanda kama kinafyatua fresh ndo wanachukua jumla
Mambo ya kuhangaishana huku na kule mnatafuta mtoto wanasema hawataki
Huyo ameshatumika bikra hana, na unaweza kukuta anamtoto, kwa binadamu ambaye damu inachemka hawezi kuvumilia genye za miaka 15 toka avunje ungo anataka kutuaminisha kuwa hajawahi kutongozwa au kuwa katika mahusiano
Heshima kitu cha bure. Kwani wewe umeoa mama yako?Labda Baba yako
Ahsante kwa ushauriHuko shulen kote ulikopitia umekosa mtu hadi uanze kubahatisha kwenye mitandao ya jamii du nakuhakikishia huwez pta mwenza wa maisha kwa style hyo lbda km unataka kuvurugwa
Jamii fr imejaa waungwana n'a waaminifu, hakuna mhuni hapa. Msemakweli ni mpenzi Wa mungu
Halafu, hakuna mwanaume aliye kamili akaishi hadi miaka 35 hajaotea hata mtoto wa nje, haipo na atadanganywa.Na hapa jf kulivojaa wahuni.. Namuhurumia tu
Siku hizi watu wanatest mjtambo ya kiwanda kama kinafyatua fresh ndo wanachukua jumla
Mambo ya kuhangaishana huku na kule mnatafuta mtoto wanasema hawataki
Nimekuambia tuma Picha pm, mpaka sasa hujatuma. Uko serious kweli unataka mume ?Ahsante kwa ushauri
Halafu, hakuna mwanaume aliye kamili akaishi hadi miaka 35 hajaotea hata mtoto wa nje, haipo na atadanganywa.
Na hicho kigezo cha bila kusex dada, kiondoe, maana utajikuta unafunga ndoa na hanithi kisha uje utulilie bure humu.