Natafuta mume wa kuishi nae

Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Awe tayari kupima vvu kabla ya chochote na alie tayari kusubiri hadi tufunge ndoa Ndio tu sex.
Vigezo safi kabisa kwa wale wenye jogoo wasiowika na wanahitaji wife.
Huo ujinga wanaume hatuna, huwezi kuuziwa kiatu hujakitest je kama inakubana
 
Pole sana madam hii ndio Jf, kuna wapumb.avu wa kila aina japo wenye busara wapo pia...madam mtu yeye alianza kugegedwa ana miaka 12 au mkaka miaka yote ye hajawahi kukutana na bikra kwa hiyo wakisikia mtu wa umri wako bado bikra roho zinawatoka hatari na usishangae pamoja na kebehi zote hizi watakuja kukujalia PM na wengine ni hawahawa wanaokukejeli na kukutukana hapa watakuja bila hata soni au kwa kutumia I'd nyingine. Ushauri wangu fanya kama unafunga jalada la kutafuta mchumba Jf maana mashaka yangu hapa watakuja wale wa kukuumiza tu uyachukie mapenzi pamoja na kujitunza hadi umri huo.
Mimi ningeenda PM sema naona umekesha hapa hunipi hata mwanya.

Nje ya mada. Wewe utatafuta lini bwana?
 
Tena kubwaaaaaa...kasome tena. Afu ni msomi, yote tisa, kumi yupo sealed, pamoja na kuwa sealed ametia na msisitizo hana mtoto kabisa. Upewe nini kingine?
Kwa hiyo siku hizi wqnawake mnavijua vigezo vyetu vya kuoa?

Si bure siku hizi mnabishana nasi hata ndani ya nyumba.
 
Binafsi nakupongeza kwa kujitunza, karne hii ni ngumu sana kupata vijana wanaoweza kufanya ulichofanya. Simamia kwenye mstari huo huo hadi ufikie malengo yako, lazima utampata uliyeandaliwa.

Sisi wengine tulishajiharibu zamani ndio maana labda tunaona wivu na kuhisi vibaya.

Don't listen to anyone who's trying to pull you down, don't go down with them.

Word...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom