Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Pole sana ,if you have tried making plans a couple of times to no avail its best to focus on men who are willing to invest in you and i dont see hows that possible with Jamii forum IDs
I believe on your Life journey there were lotsa guys who wanted to invest in you ,

well said mkuu
 
Asalam alaikum.
Upo tayari kua mke wa pili?
Bcoz kwa umri wa umtakaye huwezi kumpata Bwana wa kiislam aliye single, otherwise tegemea janga kuu!!!!
 
Asalam alaikum.
Upo tayari kua mke wa pili?
Bcoz kwa umri wa umtakaye huwezi kumpata Bwana wa kiislam aliye single, otherwise tegemea janga kuu!!!!

Wapo wengi, naamini atampata amtakaye.
 
umejitoa mhanga haswaa, haya ujaaliwe kupata utakacho, ila tu kama ukimpata hapa nakushauri usiwe gwiji wa kuvua chupi na kiacha kikojoleo kichezewe kirahisi uwe makini sana mdogo wangu baadhi ya wanaume ni njaa tu zinawasumbua , ukimpata atakaye ridhika na wewe nawe ukaridhika naye basi afate taratibu halali, uwe jasir kwa hilo vinginevyo utanyooshwa tu utakuwa uwanja wa bibi dogo maana hapa wewe ndo umeonyesha una shida au uhitaji hivyo watu wabaya wanaweza tumia kama fursa ya kula utamu wako na kupotea, inshort uwe makini.
 
Unamaanisha awe makini na wale watumiayo ile kanuni ya "eat and run "
 
Kwa kweli ukhty mume umepata na vigezo vyote nimetimiza shughuli yangu kubwa mi mwalimu Wa madrasa kila umri wangu upon chini kidogo 24 kama upon tayari na umeridhika nami njoo tujenge maisha.

Kwakuweka kigezo cha dini, suala lake linaweza kua gumu.
 
Mimi ni muislam mwenye msimamo mkali, kama upo tayari tuanze safari.
 
Nilishakuwaga na mchumba mpendwa but mwenzangu currently anaonekana kama bado hayuko ready kusettle.
Na labda kwavile sikua/siwezi kuwa na more than one guy at a time so sijaweza kumreplace that much quick

Una watoto wangapi
 
Back
Top Bottom