Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
156
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
 
Mkuu kuna kitu siajelewa hapo kwenye kichwa cha habari unaitaji mme
Kwenye maelekezo mwishoni unaitaji mke
Nieleweshe nije tuyajenge kiutu uzima
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Kiufupi sisi wajuba tunasema unatafuta mwanaume wa kukukula kukufanya na kuwezana.
 
Back
Top Bottom