Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Karibu
 
Utaishia kupata mume wa mtu kwa umri huo ulioutaja
aisee..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mume wa mtu naye mume lakini [emoji2][emoji2].Back to the point kwa nini umesema hivyo?kwamba hakuna mwanaume bachelor wa miaka 38 au
 
Ujataja mapungufu yako kabisa ili mtu ajue....kama ziwa ndala tako sina aka flat hips hakuna uko serekalini niko masijala...mweusi tiii au mweupe peeee.......unamaliza kabisa ili mtia nia ajue kabisa hizo haraka kati zikoje ............kama ambavyo watia nia ya ubunge wanavo jitokeza maana wanajua mafao milioni 300
masijala ndo nini?
 
Ukikosa kabisa ni check mimi nina 30 yrs -0759589005, nipo Kanda ya Ziwa
 
Sasa mbona unataka miaka mikubwa tu inamaana akitokea Serengeti boy huchangamkii fikilia vizuri dada.
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Je kua mke mdogo. Utakua tayari?
 
Back
Top Bottom