Natafuta mume wa kunioa

lonalove

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
27
Reaction score
66
Habari zenu wana JF,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka 24, graduate wa chuo kikuu, sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years, asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana.

Thanks.
 
Nimekupm lkn kimya
 
Amesema umri usizidi 45 akimaanisha 45 yrs ni maximum. Ukiwa 18-45 waweza chukua mzigo. Sasa apunguze vp tena?
Oooh na sunglasses [emoji41] nimeshavua ndio naona sasa, Natinga huko PM
 
Yaani sikupatii picha ukiwa chuo uliringia wanaume vibaya sana na kujidai wewe ndo wewe, sasa hakuna hata wa kukwambia hi
Maskini polee
 
mpaka kwenye mapenzi kuna matangazo jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…