Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Vigezo mbona vichache?wenzio wanatoa vingi?kipato,elimu,kimo,dini,n.k
 
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa na mmoja wao ni wewe,hukuona mtoa mada amesema kama mtu yupo serious amfuate pm for more details??!!
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Mi ntakufaa umri wang 28 lakn uwe tayari kuvumilia shida
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Haya yote magufuri umeyaleta wewe, season 4 tulisikia kejeli sana. Mara mimi sitaki kuolewa wanaume wenyewe hawana pesa now days wanatafutwa...
 
Nina uhitaji wa kupata mke lkn Kwa comments nilizosoma humu haina haja ya kuleta bandiko humu
 
Back
Top Bottom