Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Binti wakiwa vyuon wanatumiwa weee hadi bhaaaaaas, Eti easy life Kwa kuhongwaa?? Ona sasa mmegraduate mnahangaika hangaika, Nani auziwe mbuzi kwenye gunia... Anyway utapata Sharon mwenzako... Pathetic
 
Kila nikiwafata pm sipati jibu kabisa na hata salamu sijibiwi.

Kama upo serious tafadhali nicheki pm ili tuyajenge.
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Njoo pm
 
Njoo PM
 
Vipi tunaweza jaribisha premises walau nijue kama sentensi yangu ni falacy au tautology
(mathematician tu ndo watanielewa)
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Upo tayari kuishi mahali popote?
 
Hii tabia ya wanaJF ya kuponda, na kukejeli post nyingine Kama ya mtoa mada sio nzuri kbsa. Kama tangazo halijakugusa au vigezo huna ni busara tu kupita kimya. wengi wanaofanya hivi ni wavulana(kula Kulala). Walio serious wanaenda PM Moja kwa Moja na sio kukejeli.
Inaelekea umetoka PM na hujapata jibu zuri unatengeneza mazingira
 
Binti wakiwa vyuon wanatumiwa weee hadi bhaaaaaas, Eti easy life Kwa kuhongwaa?? Ona sasa mmegraduate mnahangaika hangaika, Nani auziwe mbuzi kwenye gunia... Anyway utapata Sharon mwenzako... Pathetic
Huwezi kupata jema lolote kwa kudhania wengine vibaya..
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Nifuate npo tayari ila npo kanda ya ziwa.
 
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.

Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.

Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.

Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Njoo pm
 
Inaelekea umetoka PM na hujapata jibu zuri unatengeneza mazingira
Wewe Kula Kulala endelea kupiga sembe la bure kwa shemeji yako, utakapostuka umri unakimbilia 40 na bado ni mvulana ndo utaelewa nilichokuwa namaanisha.
 
Back
Top Bottom