kingdadikati
Member
- Dec 31, 2016
- 53
- 25
Binti wakiwa vyuon wanatumiwa weee hadi bhaaaaaas, Eti easy life Kwa kuhongwaa?? Ona sasa mmegraduate mnahangaika hangaika, Nani auziwe mbuzi kwenye gunia... Anyway utapata Sharon mwenzako... Pathetic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. Ila kama kweli kuwa makini and best of luckKuweka picha hapa haiwezekani ,hata wewe pia najua unajua ni kwanini siwezi kuweka .
Ulichaondika kinagusa jamii nzima, hata wewe na ndugu na jamaa zakoHuhuhu mbona povu mkuu au umeguswa!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui kama atakua na nauli ya kufika huko
hakuna mwanaume mwenye huo umri halafu hajaoa [kama yupo physically and biologically fit], otherwise unatafuta mgane...Mwanaume awe hajazidi 45 years
unadaiwa na bodi ya mikopo!????graduate wa chuo kikuu ,sina ajira ......
Njoo pmHabari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Njoo PMHabari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Upo tayari kuishi mahali popote?Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Inaelekea umetoka PM na hujapata jibu zuri unatengeneza mazingiraHii tabia ya wanaJF ya kuponda, na kukejeli post nyingine Kama ya mtoa mada sio nzuri kbsa. Kama tangazo halijakugusa au vigezo huna ni busara tu kupita kimya. wengi wanaofanya hivi ni wavulana(kula Kulala). Walio serious wanaenda PM Moja kwa Moja na sio kukejeli.
Huwezi kupata jema lolote kwa kudhania wengine vibaya..Binti wakiwa vyuon wanatumiwa weee hadi bhaaaaaas, Eti easy life Kwa kuhongwaa?? Ona sasa mmegraduate mnahangaika hangaika, Nani auziwe mbuzi kwenye gunia... Anyway utapata Sharon mwenzako... Pathetic
Nifuate npo tayari ila npo kanda ya ziwa.Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Njoo pmHabari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Wewe Kula Kulala endelea kupiga sembe la bure kwa shemeji yako, utakapostuka umri unakimbilia 40 na bado ni mvulana ndo utaelewa nilichokuwa namaanisha.Inaelekea umetoka PM na hujapata jibu zuri unatengeneza mazingira
Njoo PM kwanza tuyajenge I think tunawabambia endanaKila mtu anamtazamo wake ,hata Mimi nilitegemea various kinds of comments,.