Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Mnakosaje waume jamani? Mbona simple?
Anyway..kila la kheri binti.
Kuchagua sana, ndo kunawafanya mabinti wakose waume, mara oh awe tajiri, awe handsome, six pack, awe na gari, awe provider, caring, tall etc sasa asilimia ngapi ya wanaume hao Tanzania wanafit ivo vigezo Demi
 
Ukimpata kumbuka kuleta na mrejesho wala usisubili uzae ndio urudishe mrejesho.kila lakheri mdogo wangu.
 
Wanawake wanaangalia fursa
Wakishindwa kufanikiwa wakiwa Single wanaamua kuolewa hiyo ndio Fursa ya mwisho kwa mwanamke apate mtu mwenye hela amuoe zikiisha waachane atakuwa tayari ana nyumba na gari na watoto ambao ndio wanamfanya awe mrithi halali wa Mali za Mwanaume kwa sheria za Tanzania. Kwa sheria za Ndoa Tanzania Mwanaume hana haki yeyote
Hata ukimuoa mwanamke mwaka mmoja na alikuja na begi la Karibu Shangazi, Siku mkigombana anaondoka na Harrier na hati ya kiwanja na nyumba mnayoishi inapigwa mnada mgawane.
Huoni ulimkaribisha Shetani kwenye maisha yako akumalize?
Ahahahahahah! Kweli kabisa,sheria zinaegemea upande mmoja
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao.

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana
2. Awe mkristo
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe
5. Ajue kutafuta pesa
Karibu
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao;

1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
2. Awe mkristo.
3. Elimu iwe degree moja na kuendelea.
4. Rangi yake awe maji ya kunde ya mweusi. Asiwe mweupe.
5. Ajue kutafuta pesa.
gooluck
 
pm me pls
 
pm
 
Njoo bobo
 
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi.

Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao;

Ndoa lini? Naomba mualiko
 
Nione pm
 
Mrejesho
 
Pole m
 
Back
Top Bottom