Natafuta Mume wa kunioa

Natafuta Mume wa kunioa

Kwanini kunakuwa na tension kubwa sana unapotajwa uislam au ukristo? Msibaguane msidhalilishane msitukanane kisa dini tafadhali
 
Ukiskia UISLAMU basi Ndio huo.

Dada yangu karueche HANA MAKUU. Kwa sababu Ana IMANI 100% Kuwa mgawa Rizki NI MWENYEZIMUNGU TU. na sio Mume.!

Sio wale Wagalatia WANAKUWEKEA Masharti kama Unanunua NDEGE YA KIVITA !
Mpaka Unaona Bora Ukatafute machangu mitaani.

We hushangai waefeso wengi sana KWANINI HAWANA WAKE? wamebaki kushika mkono tu!
na Vijana wa kiislamu Wengi wao WAMEOA?

Karibu ktk DINI YA HAKKI MKUU.
Huku ndiko kwenye mafanikio.

Hebu wadokeze wanajamvi, hivi kuna migegedo ya ki-issis na migegedo ya ki-antiokia, uuseme pia mustakabali wa hizo ndoa za asubuhi ikifika jioni talaka, manake kwa issis neno talaka siyo msamiati ni neno la kawaida la kiunganishi cha sentesi.
 
Last edited by a moderator:
...mama karueche mnataka kufungua msikiti,au mnaenda kule iraq,nasikia na boko haram wameanzisha taifa la kiislam....
 
Last edited by a moderator:
Na nyie Wapagani hamna matatizo hata kidogo ispokuwa hio midomo yenu michafu ka choo cha stendi.

hivi we jamaa huwa ni mtu au mnyama! Huwezagi kuandika comment ambayo haina matus ndani
 
Ukiskia UISLAMU basi Ndio huo.

Dada yangu karueche HANA MAKUU. Kwa sababu Ana IMANI 100% Kuwa mgawa Rizki NI MWENYEZIMUNGU TU. na sio Mume.!

Sio wale Wagalatia WANAKUWEKEA Masharti kama Unanunua NDEGE YA KIVITA !
Mpaka Unaona Bora Ukatafute machangu mitaani.

We hushangai waefeso wengi sana KWANINI HAWANA WAKE? wamebaki kushika mkono tu!
na Vijana wa kiislamu Wengi wao WAMEOA?

Karibu ktk DINI YA HAKKI MKUU.
Huku ndiko kwenye mafanikio.

Khee,
Aisee...
 
naitwa saida issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874

na ikiwa sina dini na niko tayari kujoini dini yako?
 
Kwanini kunakuwa na tension kubwa sana unapotajwa uislam au ukristo? Msibaguane msidhalilishane msitukanane kisa dini tafadhali

thread za ukristo huwa zinapita shwari kwa ajili waislamu wanaziheshimu na kupita mbali.sasa iwekwe thread ya kuhusu waislamu utashangaa akina ishmael,mkanyageni and company wametia timu wanatukana ooh boko haramu ooh blah blah.wanatabia za kijinga sana hao maparoko.
 
Utampata tu umpendae . weka picha
 
vuta subira utapata , japo kuingia tu na kutangaza nia hahahaha
 
Your not funny pal.

Hey dummy, it's not "your not funny". It's 'you are not funny'.

And I'm not your pal. Get that through your thick skull, ok?

We na yule mumeo Kiranga always mnazaa watoto wa ovyo tu.

Takbiiiiiir alah u wankubali!

Namshauri mumeo akutie adabu kidogo. Manake naona unazidi kuharibikiwa.

Takbiiiiir alah u utans-hau.
 
Your not funny pal.

We na yule mumeo Kiranga always mnazaa watoto wa ovyo tu.

Namshauri mumeo akutie adabu kidogo. Manake naona unazidi kuharibikiwa.

I am giving you a last warning.

Ukiongeza punje ya lugha zako chafu dhidi ya jina langu utaungana na mabaradhuli wenzako kwenye ignore list yangu nisiweze hata kunusa ushuzi wako unaotuchafulia hewa nao hapa.
 
Last edited by a moderator:
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874

Udini Unawasumbua sn hawa viumbe
 
Jamaniii hivi kumbe inafikia hadi mtu anajinadi.Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom