Natafuta Mume wa kunioa

Yani inaonesha ww ni scaper tayari!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

!
 

mkuu naomba ushahidi wa kimaandiko kwa hayo unayosema juu ya mtume wetu
japo sikupenda iwe hivyo ila kwakua umesema waijua dini yetu vizuri .sasa kuondoa mzizi wa ftina nataka ushahid wa kauli yako kupitia maandiko ima bibilia au qurani.ili usiwe mnafki na mwongo
 
Tafadhali ni PM tuweze kuwasiliana zaidi
 
Hukuwa na haja ya kutukana matusi yote hayo/kukashifu dini ya mwenzio namna hiyo, kwa sababu kuna waislam wenye ustaarabu na heshina na hekima na wanaheshimu dini ya wengine bila kutukana wala kukashifu.
 
Hukuwa na haja ya kutukana matusi yote hayo/kukashifu dini ya mwenzio namna hiyo, kwa sababu kuna waislam wenye ustaarabu na heshina na hekima na wanaheshimu dini ya wengine bila kutukana wala kukashifu.

!
 
!
 
Last edited by a moderator:

hayo unayoongea niuongo mkubwa tena ulioko wazi kabisa.hakuna muislam aliyefundishwa kua mtu asiye muislam amfanye kua adui hakuna andiko hilo katika uislam.mtume pia unampakazia uchafu mkubwa na utajibu siku zamwisho. mtume pia ametufundisha kuish nawatu kama wewe kwawema.nitakupa mfano 1 katika maisha ya mtume huyo unayemsema alikua akiish jirani na mtu asyekua muislam nayule jamaa alikua anamchukia mtume bila sabababu kama wewe.yule jamaa akuwa na tabia ya kumuwekea mtume kinyesi mlangoni kwake kila siku mapema kabla nyumba ya mtume hawajaamka yote ilikua kumchokoza mtume lakini mtume akawa kila alipokikuta anazoa bila kumuuliza na hiku akiwa anamsalimia jirani yake kama kawaoda ikafika siku moja asubuh anamka mtume kufungua mlango hajakuta kinyes wala uchafu wowote.mtume akajiuliza kulikoni leo hajaeka?akahisitu kua lazima kuna tatozo alatoka mtume mudahuohuo mpaka kwajirani yake kumjulia hali akiwa anajua kabisa lazima atakua mgonjwa.anafika mtume anamuulizia afya yake jamaa yuko hoi hajiwezi kitandani. mtume.alichofanya.nikumubea.dua mungu amponye.sasa yule jamaa.baada ya kuombewa duwa akamuuliza mtume amejuaje kua anaumwa?mtume akamjibu leo sijaiyona ile kazi unayonipa kila siku adubuhi ndomaana nikahisitu lazima utakua unaumwa.hapohapo yule jamaa akasilimu na akawa moja ya maswahaba wakubwa waloipigania dini.uislam umetufundisha kila aina ya tabia njema mkuu.huujui uislam vizuri usome utafute ujue vizuri ndo uje mezani ukiwa na data kamili.sio sitori za mitaan.ukiwa muislam lazima uwe na adabu mbele zawatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…