tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
umejaaaliwa mtoto?Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Hapana miye Sina mtoto nikiolewa nitapata watotoun
umejaaaliwa mtoto?
ngoja tumuite hakimi atoe muongozo Mana unataka mwenye Kazi
cc hakimi
Nakuombea upate hitaji la moyo wako.. Mungu atatenda sawa sawa na mapenzi yakeNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
ok njoo pm basHapana miye Sina mtoto nikiolewa nitapata watoto
Kwenye apo asiwe mlokole nakuelewa sana,na nakuunga mkono [emoji846]Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Dah nimeokoka juzi tu hapa. Anyway, acha wasio okoka wajeNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Mie 42Miaka 43 asiwe na mtoto? Au nmeelewa vibaya. Nadhani mzabzab atakufaa.
Karibu pm ipo waziok njoo pm bas
Mimi Nina 39 niko singo naishi masaki
wewe uko wapi?
Bikra imo au ni bwawaHapana miye Sina mtoto nikiolewa nitapata watoto
Mbona unamke??Karibu pm shangazi
Ila ukubal kupakiwa mkongo
Man at 38+ asiwe na mtoto ....upo serious kweli .... japo wew hujasema kama una mtoto ....any way nhoja niendelee kunywa mtori hope nyama ntazikuta chiniNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Mie Sina mtotoMan at 38+ asiwe na mtoto ....upo serious kweli .... japo wew hujasema kama una mtoto ....any way nhoja niendelee kunywa mtori hope nyama ntazikuta chini