Bahati njema!!! Mwenyezimgu atakujaalia umpatae .ila usisahau kuleta mrjesho.Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
hahaha hi ndo bongoUmeleta u-feminist mpaka red light imewaka sasa unataka mwanaume ila asiwe na elimu sawa na yako.
Unatafuta mdoli?haiyumkiniki miaka yote hii ulikuwa unachagua mume kwa vigezo vya kipumbavu kama hivi na nakwambia hutampata!
Ila mkuu kwa story zako sipati picha unafananaje 😁😁😁Kwa miaka hiyo wengi ni waume za watu; ukitaka kuja kuwa mke wa tisa uje huku
Kawaida tu mkuu; muhimu kuburudika tuIla mkuu kwa story zako sipati picha unafananaje 😁😁😁
Hapana miye Sina mtoto nikiolewa nitapata watoto
Uongo nimepimaAge hiyo watoto kupata mimba ni kwa mbinde. Na complications kibao za uzazi Kama ndio uzazi wa kwanza.
Samahani kwa ukweli mchungu
Uongo nimepima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣naonaa kuna interview siku ya kwanzaVihegezo vingi zaidi ya tamisemi
Bado ana mwaka mmoja tunza hili swali ndugu mjumbe tutakuja kumuuliza mwakani.Ujana kisheria mwisho miaka 35, ujana wako ulikula na nani!?
Uongoo my sister kaolewa 45 na anawatoto 3 nasasa ana 55 na yupo fitiHata ukipima watakuambia mayai unayo. Ila hawakwambii quality ya hayo mayai uliyonayo ikoje .
Ubora wa Mayai ya mwanamke wa miaka 18 ama 20 ama 25 ama 28. Ni tofauti na ubora wa mayai ya mwanamke wa miaka 30 kwenda juu.
Ndio maana complications nyingi za uzazi wanapata wanawake above 30
Uongoo my sister kaolewa 45 na anawatoto 3 nasasa ana 55 na yupo fiti
34 hujaolewa ulikuwa unafanya nini? Hapo ulipo sasa wewe ni wa kuolewa kwenye mitala tena na mzee wa miaka 50 na zaidi! Punguza vigezo muda umeshakutupa mkono!Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa izi ni kama za manabii mbona1. Unataka mume.
2. Awe dini yako.
3. Awe na kazi.
4. Asiwe na mtoto.
5. Awe mweli.
6. Akuzidi kipato.
7.Asiwe mrefu sana.
8. Awe mkarimu kwa wote.
9. Awe na heshima
10. ASIWE NA MAMBO MENGI! (wakati wewe tayari ushataka awe na mambo mengi)
Kwann nawe? Unaokokaje? Kusali tu kunatosha bhanaDah nimeokoka juzi tu hapa. Anyway, acha wasio okoka waje