Natafuta mume wa kweli

Asiwe mlokole tena😂😂,dah hii dunia kweli ina mambo,nimeshazoea kuona zile za wanaotaka awe ana hofu ya Mungu,hii naona ni opposite...
 

1.Una umri wa miaka wa miaka 34 mwanamke huna familia?
2. Asiwe mlokole inamaana humtaki mwenye hofu kubwa ya MUNGU?
3. Asiwe na diploma inamaana humtaki mwenye elimu kama yako au zaidi
kwa sifa zako hizo kama bado unavizingatia vigezo hivyo basi jiandae kuolewa ukiwa na 50 yrs of old,kila lakheri.
 
Hapo sinitakuwa lengo limetimia??
 
Kwa umri huo upate mme wa mtu labda ambae amefiwa, ametaliki au mke wa pili
 
Usikate tamaa,watu wameoa na kuolewa humu humu,tambua kuwa huwezi kukubaliwa na kila unayemtaka wewe,ni mswala ya kujaribu,kumbuka kuwa hauko peke yako,inapotokea fursa kama hiyo mnakuwa wengi mnaogombania hiyo nafasi...
 
Unapatikana mkoa gani mrembo?
 
40 yrs asiwe na mtoto hii Kali ya mwaka
 
Hivi vigezo hivi,,,,,, asiwe mlokole
Hawa watu uwa wajuaaji sana,,,,

Diploma,,,,,,,, unataka umzdi asiwe mtu anaejielewa vizuri

Asiwe na mtoto,,,,,,, kwa miaka yote hiyo,,,,???!

Awe na kipato kukuzidi!?!!!!!

Asiwe na wivu,,,,,,,, muda wowote unarud????


Utampata usijari bibie
 
Wewe huna kazi unataka mwenye kazi..unataka akuzidi kipato..asiwe na wivu means wewe ni mtukutu..


Mungu atakupa wa kufanana naye😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…