Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiwe mlokole tena😂😂,dah hii dunia kweli ina mambo,nimeshazoea kuona zile za wanaotaka awe ana hofu ya Mungu,hii naona ni opposite...Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke, asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Hapo sinitakuwa lengo limetimia??1.Una umri wa miaka wa miaka 34 mwanamke huna familia?
2. Asiwe mlokole inamaana humtaki mwenye hofu kubwa ya MUNGU?
3. Asiwe na diploma inamaana humtaki mwenye elimu kama yako au zaidi
kwa sifa zako hizo kama bado unavizingatia vigezo hivyo basi jiandae kuolewa ukiwa na 50 yrs of old,kila lakheri.
HuwajuiAsiwe mlokole tena😂😂,dah hii dunia kweli ina mambo,nimeshazoea kuona zile za wanaotaka awe ana hofu ya Mungu,hii naona ni opposite...
Vihegezo vingi zaidi ya tamisemi
Usikate tamaa,watu wameoa na kuolewa humu humu,tambua kuwa huwezi kukubaliwa na kila unayemtaka wewe,ni mswala ya kujaribu,kumbuka kuwa hauko peke yako,inapotokea fursa kama hiyo mnakuwa wengi mnaogombania hiyo nafasi...Wanaume wa kuoa humu hamna dada pambana na hali yako tu
Kuna kipindi niliona tangazo la kutafuta mume likanivutia kutokana na vigezo alivyoweka
Ikabidi niingie pm
Nikajieleza sana humo lakini sikujibiwa hata kidogo na siku zikaenda mpaka leo sikuwahi kujibiwa
Since the time sina Shobo na taka kama hizi
Naona tu ni stress zimewaleta humu hamna zaidi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unapatikana mkoa gani mrembo?Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
40 yrs asiwe na mtoto hii Kali ya mwakaNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Ni inboxUnapatikana mkoa gani mrembo?
Hivi vigezo hivi,,,,,, asiwe mlokoleNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Wewe huna kazi unataka mwenye kazi..unataka akuzidi kipato..asiwe na wivu means wewe ni mtukutu..Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.