Natafuta mume wa kweli

Jua linakaribia kuzama alafu we ndo unaloweka uwele ili uanike utaota shauri yako,hapo kwenye asiwe na mtoto umefeli labda ungeshusha umri 27 uje tyajenge, we unawza kuwa na watoto ila umewaacha kwa mumeo wa zamani au ndugu alafu unajifanya ni watoto wa dada ako aliefariki
 
Ulishakuwa na wanaume wangapi mpaka uje kutujaribu hapa
 
Mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 38-43, halafu hana mtoto! atakuwa na matatizo ya uzazi bila shaka.
 
unatunyanyapaa walokole lakini sifa ulizoainisha ni za mwanaume mlokole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…