To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tatizo sipo single tenaMpandie PM muyajenge kisha leta mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sipo single tenaMpandie PM muyajenge kisha leta mrejesho
Yeah,wengine menopause huchekewaMeno pause ni 45yrs limit.
Dada yako kapata watoto 3 after 45?
Punguza hiliki kwenye chai
Hana mtoto huyoWewe una miaka 34 una mtoto, halafu yeye awe na miaka 38 hadi 43 halafu asiwe na mtoto!!! Makubwa haya.
Watoto 3 after 45yrs?Yeah,wengine menopause huchekewa
Unajua maana ya single? Ni kutokuwa na mume au mkeTatizo sipo single tena
Ndo tunaelekea Mkuu,maombi yakoUnajua maana ya single? Ni kutokuwa na mume au mke
Kuwa na sexual partner bado ni single tu🤣🤣
Kwa mfano mwalimu mwenzangu ana 48 amepata mtoto mwez uliopita.. Yaan kuna watu menopause huwakuta wapo 50sWatoto 3 after 45yrs?
Nipe elimu
Nakuombea heri kwenye hii ssfari yenu nzuri kabisa.Ndo tunaelekea Mkuu,maombi yako
Baada ya menopause age amepata watoto wangapi?Kwa mfano mwalimu mwenzangu ana 48 amepata mtoto mwez uliopita.. Yaan kuna watu menopause huwakuta wapo 50s
Sis walokole tuna comment wapKwenye apo asiwe mlokole nakuelewa sana,na nakuunga mkono [emoji846]
Ulishakuwa na wanaume wangapi mpaka uje kutujaribu hapaNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Walokele wanatengwa jamaniKwenye apo asiwe mlokole nakuelewa sana,na nakuunga mkono [emoji846]
Hizi comment kwa mtu wa Jf aliyestaarabika Peleka FacebookBikra imo au ni bwawa
Mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 38-43, halafu hana mtoto! atakuwa na matatizo ya uzazi bila shaka.Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
unatunyanyapaa walokole lakini sifa ulizoainisha ni za mwanaume mlokoleNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.