Natafuta mume wa maisha

Natafuta mume wa maisha

Hello!

Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.

Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Mkuu,Kwa umri wako wewe ni very fragile.Check me inbox ila I am not the person but I can fix you with some one who can handle fragile tings.I am not judging you
 
Hello!

Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.

Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Inahitaji mke wa pili serious. Sifa ni kuwa mtumishi au mjasiriamali. Lengo tuwekeze. Umri wangu ni 48. Mwonekano wangu ni kama "serngeti boys" tu.
Sitaki nyama uzembe wala slim. Karibu tuyajenge.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Acheni basi kumkatisha tamaa kuna mm na wenangu tuliokula salt nyingi tuendele?xze gurudumu bay njoo dm
 
Nimekuhurumia dada yangu, anyways Mungu akupatie hitaji la moyo wako uko kwenye maombi yangu ila kama na wewe unajiombea yatatimia.
 
Hatari....Nikupe ushauri... Kwa Sasa watu wazima, wenye pesa zao wanapenda ma-bint wadogo, tunaita umri sukari/ma-bint sukari age 18-25 hivi..Wewe Kama upo serious unataka ndoa tafuta Ben ten au kijana yoyote mpambanaji komaa nae mfundishe maisha, mjenge maisha..Kuna mahali ulikosea kipindi ukiwa bint/msichana am sure rafiki zako wa umri wako kwa Sasa Wana familia ya watoto watatu na zaidi ..
 
Hello!

Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.

Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Sawa
 
Hello!

Mimi ni mwanamke
Umri 34
Mkristo
Mtumishi wa umma
Elimu ya juu(degree)
Sijawahi kuzaa koz sijaolewa.

Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
Njoo kwangu mliolemewa na mizigo...
 
Back
Top Bottom