- Thread starter
- #21
nimechunguza topics nyingi ni wanawake kutafuta wanaume kuliko the other way around...ni kwamba wanawake wengi wa humu JF ni ma singo ladies, wameachwa, hawashikiki au hawatamaniki kwa wanaume ni swali tu :gossip:
Yote yanawezekana as Jf ni sehem ya maisha na jamii so usiache mdomo wazi kiasi hicho! Kuachwa, kushindikana, kuwa single ni mapito ktk maisha and i knw ulishapitia moja ya hapo au upo ktk mojawapo so cul down my dia!