Natafuta mume wa maisha...!

nimechunguza topics nyingi ni wanawake kutafuta wanaume kuliko the other way around...ni kwamba wanawake wengi wa humu JF ni ma singo ladies, wameachwa, hawashikiki au hawatamaniki kwa wanaume ni swali tu :gossip:

Yote yanawezekana as Jf ni sehem ya maisha na jamii so usiache mdomo wazi kiasi hicho! Kuachwa, kushindikana, kuwa single ni mapito ktk maisha and i knw ulishapitia moja ya hapo au upo ktk mojawapo so cul down my dia!
 
ladywho pole sana kwa yale majibu ambayo tunayategemea yakatishe tamaa but trust what you are doing, najua humu wapo kibao ambaoao wanatafuta partners but uwe makini usije ukaangukia mikononi mwa wale wataabishaji. Watakao kupm jaribu na jitahd uonane nao ili at least kwa kuonana tu unaweza kumjua mtu kidogo. Uwe makini usimkaribishe mtu nyumbani kwako, wala usientertain swala la ngono kwanza manake ukifanya hivyo utajikuta umezini na watu wengi sana.


kama unaweza toka nao ukae sehem ya wazi uongee na mtu kwa undani, kabisa ukifanya hivi wapo wengine kwa siku ya kwanza tu utajikuta umeshawadelete, na hii itapunguza presha ya kuwa na msururu wa watu. hata utakayempata usimwonyesha tamaa ya ngono kwanza, uwe serious katika hili usije siku ukarudi hapa kama wengine ukidai wanataka ngono tu.
 

Thanx kwa mawazo
 
Mpendwa ladywho, imani yako yakuruhusu na wewe u tayari kuolewa mitala? My wife is getting old and older as days go on.
 


nimekupm please keep that n respond
 

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…